LEO NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWANAHABARI DAUDI MWANGOSI

Wakati tunakumbuka siku hii
wanahabari Iringa tutaungana kuadhimisha siku hii kwa kufanya sara
fupi ktk uwanja wa IDYDC Mtwivila na baada ya hapo utafanyika
mchezo wa kirafiki kama kutambua mchango wa vyombo vya habari
mkoa wa Iringa ila pia kuenzi na kutambua mchango wake katika
michezo kama njia ya kudumisha mshikamano wetu wanahabari mkoa wa
Iringa .
Pia kutakuwa na mazungumzo mafupi ya kukumbushana tulikotoka na tunanakokwenda katika utendaji kazi yake yatakayofanywa na mwenyekiti wa IPC Frank Leonard
Pia kutakuwa na mazungumzo mafupi ya kukumbushana tulikotoka na tunanakokwenda katika utendaji kazi yake yatakayofanywa na mwenyekiti wa IPC Frank Leonard
Pia tutazindua kikombe cha upendo kwa ajili ya mshikamano kwa wanahabari mkoa wa Iringa
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Amina
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Amina
No comments:
Post a Comment