Monday, 1 September 2014

PICHA YA SIKU:::MUONE MWANAFUNZI MTORO ALIVOFANYA.

PICHA YA SIKU HII


Huyu ni moja ya wanafunzi watoro, hapa alikuwa amekamatwa amevaa nguo Tano ndani kukwepa viboko, na katika picha hii anaonekana ameshikiria nguo tatu ambazo anazionesha baada ya kuzivua huku zengine akiwa bado amevaa

No comments:

Post a Comment