Monday, 1 September 2014

UJERUMANI NA KISWAHILI:WATUMIA KWAYA KUFUNDISHA KISWAHILI

Kwaya inapotumika kufundisha Kiswahili

Wanafunzi wa chuo kikuu kusini mwa Ujerumani wamegundua njia ya kipekee ya kujifunza lugha na utamaduni wa Kiswahili kwa kukusanyika kuimba kwaya na wengi wanasema imewasaidia kuitambua zaidi Afrika.
Helena na Freddie wakizungumza na safu ya Kiswahili Kina Wenyewe. Helena na Freddie wakizungumza na safu ya Kiswahili Kina Wenyewe.
Katika sehemu hii ya mfululizo wa makala za Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na kikundi cha kwaya ya Kiswahili kusini mwa Ujerumani juu ya uzoefu wao katika kutumia burudani kama lugha ya kujifunza lugha.

No comments:

Post a Comment