Hii hatari kwa waendesha magari nyakati za usiku hii nguzo ipo barabara mpya jirani ya bustani ya jiji eneo la uwanja wa sokoine jijini Mbeya |
Je? ushirikiano wa Halmashauri ya jiji la Mbeya na Tanesco hakuna mmeshindwa kukaa chini mkajadili swala hili maana yote mnayofanya ni kwafaida ya wananchi |
Picha yenyewe inajieleza je mnasubiri ajali itokee ndiyo mchukue hatua? |
Hii hatari sana ujumbe tunaimani umefika Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment