Sunday, 14 September 2014

BALAA:::Mkanda wa Ngono wa Iggy Azalea na ex Wake Unaweza Kuuza Kuliko ule wa Kim K na Ray J


Mmiliki wa mtandao wa ngono wa Vivid, Steve Hirsh amesema mkanda wa ngono wa rapper Iggy Azalea unaweza ukauza kuliko ule wa Kim Kardashian na Ray J.

Rapper wa Houston, Jefe Wine ndiye anayedaiwa kurekodi mkanda huo akifanya mapenzi na Iggy. Wine anadai kuwa Iggy alikuwa akijua kuwa wanarekodi mkanda huo licha ya yeye kudai hakuwa na taarifa.

Hirsh, amesema ameshakutana na Wine kufanya makubaliano ya kuununua. Wanasheria wa Iggy Azalea wamesema wamejiandaa kuchukua hatua za kisheria kutokana na mkanda huo.

Kama ni kweli Iggy yupo kwenye tape hiyo haiwezi kutolewa kihalali bila ridhaa yake.

USISOME SAIZI PLIZZ::::CHUKUA HII KWA FAIDA YAKO WAKUBWA PEKEE.


Sio siri kwamba mapenzi yanahitaji ubunifu wa hali juu,moja ya ubunifu huo ni ktkstyle za kupeana maraha..nasi bila hiyana tunarudia somo hili..

1: G - WHIZ..

Katika style hii ya kupeana raha na utamu,mwanamke alale chali ( Uso,Matiti na kila kitu viangalie juu ).Kisha mwanaume apige magoti mbele yake,baada ya hapo mwanamke aweke miguu yake kwenye mabega ya mwanaume,unaweza kuweka mto chini ya makalio ya mwanamke ili awe more confortable.
Mwanamke akiweka miguu juu ya mabega ya mwanaume wakati wa kupeana raha na utamu kuna faida mbili.Mtaenjoy kwa sababu mashine ya mwanaume na Uke wa mwanamke zote zinakuwa ktk level sawa,hii inasaidia mashine ya mwanaume kuisugua vizuri G-Spot,na pili Uke wa mwanamke unajibana kidogo,Ikijibana inaongezeka kuwa tight na kufanya starehe ya tendo kuzidi kuwa tamu.
Pia mwanaume inabidi ashikilie makalio ya mwanamke aki pump kuelekea juu ili aweze kuilenga vizuri G;Spot.

2: WHEEL BARROW..
   
                         
Kwenye style hii,mwanamke inama kama vile unataka kujiweka kwenye position ya Doggy,mwambie  mwanaume aje nyuma yako,akiwa amesimama,akamate kiuno chako kisha akibebe/akinyanyue usawa wa mashine yako ( itakuwa vizuri akiingiza kabisa mashine yake ) ili uweze kupata balance ibane miguu yako chini ya makalio yake huku mikono yako ikiwa inakupa balance.
Faida ya style hii ni kuwa inaruhusu mashine ya mwanaume iweze kupenya ndani zaidi na mwanaume atapata nafasi ya kuenjoy kuangalia mtikisiko wa makalio yako.
Unaweza kumpagawisha zaidi mumeo kwa kukata kiuno taratibu kulingana na jinsi unavyosikia raha.
3: LEAP FROG..
Hii ni Doggy style iliyoboreshwa,mwanamke akiwa kitandani,ainame halafu hips na makalio yake ainue juu huku mikono na kichwa chake avilaze juu ya mto..baada ya hapo kuna haja ya kueleza mwanaume akae wapi??
Hii style inatengeneza mazingira ya kuruhusu mashine ya mwanaume iweze kuingia ndani kadri apendavyo,na mwanamke anapata nafasi ya kupumzisha kichwa chake juu ya mto ( kidogo anarelax huku anaenjoy raha na utamu ).
Ili kuongeza raha na utamu zaidi ,mwanamke atumie mkono wake kujisugua kisimi.

AFYA::MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO

Wiki iliyopita tulieleza kwa kina tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo, leo tunaeleza dalili na tiba yake. Uwepo wa mawe katika figo na mirija ya figo hata ndani ya kibofu pia ni mojawapo ya chanzo cha maambukizi haya katika njia ya mkojo.
Dalili
Baadhi ya dalili za mtu kuambukizwa bakteria katika njia ya mkojo kubwa ni maumivu wakati wa kukojoa, mkojo kuwa na rangi ya njano kupindukia na kuwa na harufu kali japokuwa siyo kila mwenye dalili hizo ana maambukizi katika njia ya mkojo au wengine huita UTI yaani Urinary Tract Infection wana ugonjwa huu.
Dalili nyingine za maambukizi ni maumivu,  kutokwa na usaha au majimaji wakati wa kukojoa kabla au baada ya kukojoa kukiambatana na maumivu na kuhisi moto wakati wa kukojoa mkojo. Baadhi ya wanaume wakati mwingine hutokwa na majimaji katika njia ya mkojo wakati wa kujisaidia haja kubwa.
Wengine wenye maambukizi hujikuta wakipata vichomi katika njia ya mkojo, au kuhisi kuwashwa sehemu hiyo, kuumwa kiuno au tumbo na kadhalika.
Mgonjwa anaweza pia kukumbwa na homa kali mara kwa mara na mwili kuwa mchovu, kwa watoto hupoteza hamu ya kula na mwili kuonesha kuchoka. Wagonjwa wengine hupata maumivu kwenye kibofu cha mkojo ambapo husikia maumivu  ya chini ya tumbo usawa wa kitovu na huwa hayaishi.
Matatizo haya ya mfumo wa mkojo kama tulivyoona huko juu huwapata watu wote wanawake na wanaume.
Watu wenye  matatizo haya kila wakipima huambiwa wana UTI. Kwa wanaume huhisi hata nguvu za kiume kupungua na wanawake hupoteza hamu ya tendo la ndoa.
WAJAWAZITO
Kwa wajawazito ugonjwa unaweza kuhatarisha maisha yao na mtoto aliye tumboni. Bakteria wanaweza kuingilia mfumo wa damu na kwenda kusababisha madhara mengine kama vile  shinikizo la damu kuwa kubwa kwenye figo na hata kusababisha ufanyaji kazi mbovu wa figo.
TIBA
Maambukizi katika njia ya mkojo hutibika kwa dawa mbalimbali za kisasa baada ya kufanyiwa vipimo na kuthibitika kuwa mgonjwa ana maambukizi hayo.
Dawa ambazo anaweza kupewa ni kama vile Ciprofloxacin--, Fosfomycin, Monurol, Furadantin, Sulfam ethoxazole, co-trimax, ampicillin, gentamicin na kadhalika lakini asitumie dawa yoyote bila kupata ushauri wa daktari.
Ushauri
Tunashauri kwa mwanamke kwamba epuka kujisafisha sehemu za siri na maji yarukayo kwa kasi, pia epuka kupaka marashi sehemu hizo, ama kutumia pedi zenye kemikali ya kukata harufu kwani hizo huua bakteria wa asili wa ukeni hali ambayo hukaribisha bakteria wa maradhi kuzaliana kwa wingi.
Ujisafishapo baada ya kujisaidia anzia mbele kwenda nyuma kuepusha kuhamisha bakteria walio eneo la haja kubwa kuingia njia ya mkojo.
Kwa wale walio katika kipindi cha ukomo wa hedhi, wanaweza kushauriana na daktari juu ya kutumia aestrogen ya ukeni ili kuwasaidia kujikinga na maambukizi.Kwa mwanaume maambukizi haya huathiri nguvu za kiume na kujipenyeza hadi katika korodani na huathiri uzalishaji wa mbegu za kiume na kukufanya uwe mgumba.
Maambukizi ya njia ya mkojo huweza kusababisha matatizo ya tezi ya kiume (prostate), hivyo mgonjwa anatakiwa kumuona daktari.

AFYA YA UZAZI WANAWAKE::MZUNGUKO WA HEDHI USIOPEVUSHA MAYAI (ANOVULATORY CYCLE)

Katika makala zilizopita tuliwahi kuzungumzia kwa undani kuhusu mzunguko wa hedhi na jinsi mwanamke anavyoweza kupanga kupata ujauzito.Tuliona mpangilio wa kupata ujauzito huwa kwa mwanamke mwenye mzunguko unaopevusha mayai ambapo mwanamke huyu hupata ute wa uzazi.
Ute wa uzazi umegawanyika katika sehemu tatu ambapo ni ute mwepesi, ute mzito na unaovutika na ute mzito usiopevuka.Mwanamke atapata mimba endapo mayai yanapevuka kama tulivyoona dalili za ute, kwa hiyo ni muhimu mwanamke akafahamu mzunguko wake wa siku za ute wa uzazi, kama hufahamu vizuri siku za ute, kuna vifaa maalum unaweza kutumia mwenyewe ili kujua kama unapevusha mayai au la.
Mzunguko usiopevusha, mwanamke anaweza kuwa na mzunguko mzuri tu wa hedhi, anapata damu ya hedhi kama kawaida, mfano damu inaweza kutoka kawaida kati ya siku tatu hadi tano, hana shida nyingine yoyote lakini mimba hashiki kwa kipindi cha mwaka mmoja anapotafuta.
Nani anaweza kupata tatizo hili?
Mwanamke anayaweza kupata tatizo hili ni yeyote, mwanamke anaweza kuwa hana historia ya kupata ujauzito au hajawahi kutumia njia yoyote ya kuzuia mimba lakini anatafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja anakosa.
Mwanamke mwenye historia ya kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango iwe bado anatumia au ameacha hivi karibuni, hali hii inaweza kumtokea. Mwanamke mwenye historia kama ameshawahi kuzaa mara moja au zaidi au alipata ujauzito au akatoa pia yupo katika hatari ya kupata tatizo hili.
Mwanamke ambaye anabadilishabadilisha hali ya hewa, mgonjwa, anayetumia baadhi ya dawa kwa muda mrefu hasa dawa za kansa na nyingine za magonjwa ambayo ni sugu, hupatwa na tatizo hili la kushindwa kupevusha mayai. Msongo wa mawazo pia huathiri upevushaji mayai.
Matatizo mengine yanayohusiana na tatizo hili ni kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi, maumivu ya tumbo ya muda mrefu chini ya kitovu, maumivu makali ya hedhi, maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Wanawake wenye maambukizi ya mara kwa mara katika viungo vya uzazi husumbuliwa sana na tatizo hili. Maambukizi ya mara kwa mara katika viungo vya uzazi huambatana na kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu na muwasho. Maambukizi hutokana pia na kutoa mimba au mimba kuharibika.
Mwanamke anayesumbuliwa na tatizo la maambukizi huathiriwa pia na mirija ya uzazi ambayo inaweza kuvimba kwa kujaa maji au usaha. Hali hii inapotokea, mwanamke huwa na maumivu chini ya tumbo kulia na kushoto.
Mirija ya uzazi huziba, uzibaji unaweza kuwa mwanzoni mwa kizazi au katika mwisho wa mirija ambapo vidole vya mirija  hujikunja na kushindwa kuchambua na kusafirisha mayai.
Dalili za kutopevusha  mayai
Mwanamke anakaa muda mrefu akitafuta mtoto kwa zaidi ya mwaka, haoni ute wa uzazi kama tulivyoeleza, anaweza awe na maumivu au asiwe nayo.
Siku za hedhi zinaweza kwenda vizuri au zinakuwa zimevurugika. Wengine hupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Kuvurugika kwa mzunguko ni  kutojua mpangilio wa siku za damu.
Nini cha kufanya?
Ukiwa unaendana na maelezo hapo juu, basi ni vuzuri ukamuona daktari bingwa wa masuala ya uzazi kwa uchunguzi wa kina.

HATARI SANA::JE HII NI SAWA! MTAZAME BODA BODA HUYU


Mbeya yetu iliinasa hii Kasumulu, Jamaa akiwa amebeba mzigo Sasa hapa mdau wetu unasemaje kuna usalama kweli na Je anaonaje huyu jamaa hapa?  na ukitazama picha hii utagundua  Abiria ndiye anaye mtazamia  .Na kwa sheria za Barabarani hivi ndivyo mizigo inatakiwa kubebwa?

Picha na Mbeya yetu

MWEUPE SANA HUYO KWETU::.HUYU NDO BINADAMU MWEUSI KULIKO WOTE DUNIANI.



SAMBAZA UPENDO::SERENGETI FIESTA YAFUNIKA NDANI YA GEITA

Mkali kutoka pande za Mwanza, Young Killer akichana mistari stejini.Ommy Dimpoz akiimba kwa pamoja na mrembo kutoka pande za Geita nyimbo ya ME & YOU. Niki wa Pili akiwakilisha Crew ya Weusi. Mkongwe wa Hip Hop, Fid Q akitiririsha 'vesi' ndani ya Ukumbi wa Desire Park.Chege na Temba wakipagawisha mashabiki stejini. Mzee wa Kula Ujana, 'Nay wa Mitego' akiimba sambamba na mashabiki wake Geita.  
Linah akifanya vitu vyake stejini.
Msanii kutoka pande za Bukoba ajulikanaye kama BK Sande akifungua burudani ndani ya Ukumbi wa Desire Park mkoani GeitaDirector Shaibu akiachia vimbwanga jukwaani.Mr Blue akienda Sanjari na mashabiki waliofurika ndani ya Ukumbi wa Desire Park mkoani Geita.
TAMASHA la Serengeti Fiesta 2014 usiku wa kuamkia leo limeonyesha hali ya kukubalika vilivyo kwa wakazi wa Geita baada ya uongozi wa Tamasha hilo kuamua kuwapa burudani hizo kwa mara ya kwanza na wakazi hao kuonyesha hali ya kuitikia vilivyo kwa kufurika ndani ya Ukumbi wa Desire Park mkoani humo.
(PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA / GEITA)

PATAMU HAPO:: MFANYABIASHARA MAARUFU AFARIKI DUNIA BAADA YA KUBAKWA NA WAKE ZAKE WATANO MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu wa gazeti la Dail Mail. Awali Kabla ya kurejea nyumbani kwake inatajwa kuwa Uroko Onoja alikuwa akipata ulabu wake (pombe) katika baa moja huko Ugbugbu katika jiji la Benue hadi mida ya majogoo. Tajiri huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa na usongo wa mambo nyeti ya sita kwa sita, aliamua kukata kiu kwa mke wake mdogo (mke wa sita). Hata hivyo, wake zake wakubwa watano ile kuona hatua hiyo, ndipo walipoingiwa na wivu nao wakachukuwa hatua ya kutinga chumbani nao wapewe mambo. Wakiwa na silaha za asili kama visu na fimbo walivamia kitanda cha Onoja na kumlazimisha to have sex with them as well. Onoja alitumika kwa wake zake wanne kwa zamu. Lakini hali ilikuwa tete pindi mke wa tano alipo mkaribia mfanyabiashara huyo ili naye apewe mambo. Onoja alikuwa akipumua kwa taabu sana, kisha pumzi zikakata akafariki dunia papo hapo. Kuona hali hiyo mke huyo wa tano akatokomea kusikojulikana, ile hali wake wengine wawili kati ya hao wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa kosa la mauaji na ubakaji. Onoja was a prominent member of the Ugbugbu community.

MFANYABIASHARA MAARUFU AFARIKI DUNIA BAADA YA KUBAKWA NA WAKE ZAKE WATANO


MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu wa gazeti la Dail Mail. Awali Kabla ya kurejea nyumbani kwake inatajwa kuwa Uroko Onoja alikuwa akipata ulabu wake (pombe) katika baa moja huko Ugbugbu katika jiji la Benue hadi mida ya majogoo.  

Tajiri huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa na usongo wa mambo nyeti ya sita kwa sita, aliamua kukata kiu kwa mke wake mdogo (mke wa sita). Hata hivyo, wake zake wakubwa watano ile kuona hatua hiyo, ndipo walipoingiwa na wivu nao wakachukuwa hatua ya kutinga chumbani nao wapewe mambo. Wakiwa na silaha za asili kama visu na fimbo walivamia kitanda cha Onoja na kumlazimisha to have sex with them as well.
Onoja alitumika kwa wake zake wanne kwa zamu. Lakini hali ilikuwa tete pindi mke wa tano alipo mkaribia mfanyabiashara huyo ili naye apewe mambo.  Onoja alikuwa akipumua kwa taabu sana, kisha pumzi zikakata akafariki dunia papo hapo. Kuona hali hiyo mke huyo wa tano akatokomea kusikojulikana, ile hali wake wengine wawili kati ya hao wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa kosa la mauaji na ubakaji. Onoja was a prominent member of the Ugbugbu community.

MAKUBWA::UKATILI..!! MWANAMKE AFUNGIWA BAFUNI MIAKA MITATU BAADA YA KUZAA MTOTO WA KIKE


MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 25, RAIA WA INDIA AMEOKOLEWA NA POLISI BAADA YA KUFUNGIWA BAFUNI NA MUMEWE KWA MUDA WA MIAKA MITATU AKITESWA KWA SABABU TU ALIJIFUNGUA MTOTO WA KIKE!

PAMOJA NA MATESO YA KUNYIMWA CHAKULA MARA KADHAA, MWANAMKE HUYO ALIZUIWA KUMUONA MWANAE HUYO KWA KIPINDI CHOTE CHA MIAKA MITATU.

KWA MUJIBU WA GAZETI LA INTERNATIONAL BUSINESS TIMES, AFISA WA POLISI ALIYETAJWA KWA JINA LA SEEMA KUMAR AMEELEZA KUWA MWANAMKE HUYO ALIKUTWA AKIWA AMEDHOOFU NA BAADA YA KUTOLEWA NJE HAKUWA NA UWEZO WA KUFUNGUA MACHO VIZURI KATIKA SEHEMU YA MWANGA KUTOKANA NA GIZA ALILOLIZOEA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU BAFUNI.

SEEMA AMESEMA MWANAMKE HUYO ALIWAELEZA POLISI KUWA HATA WAKWE ZAKE (WAZAZI WA MUMEWE) WALIMCHUKIA NA HII ILICHOCHEWA ZAIDI NA KIASI KIDOGO CHA MAHARI ALIYOTOA ILI KUFUNGA NDOA YA MUMEWE HUYO NA KWAMBA SIKU ZOTE WALIKUWA WAKIMTAKA AONGEZE KIASI HICHO.

KWA UTARATIBU WA BAADHI YA MAKABILA YA KIHINDI MWANAMKE NDIYE ANAELIPA MAHARI.

UCHUNGUZI WA POLISI UMEBAINI KUWA TANGU MWANAMKE HUYO AFUNGE NDOA NA PRABHAT KUMAR SINGH MWAKA 2010 AMEKUWA AKITESWA MARA KWA MARA NA MUMEWE HUYO HUKU WAKWE ZAKE WAKIMTAKA KUONGEZA MAHARI NA KUMSAKAMA KWA KUJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

HIVI KNOCK OUT ATAPIGA LINI??>>MAYWEATHER AMCHAPA TENA MAIDANA

Floyd Mayweather (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Marcos Maidana.
Maidana akijibu mashambulizi wakati wa pambano hilo.
...Mayweather akimshambulia mpinzani wake.
Mayweather akiwasili katika Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas kwa pambano hilo.
Bondia Floyd Mayweather amemchapa tena mpinzani wake Marcos Maidana katika mpambano wao uliopigwa kwenye Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas, Marekani na kumalizika hivi punde.

KAWAIDA TU:::PICHA ZA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA ENEO LA JKT MLALAKUWA JIJINI DAR


Ajali mbaya imetokea jana alfajiri katikati ya madaraja mawili ya chuma yaliyoko katika eneo la Kawe pembeni ya kambi ya JKT Mlalakuwa, Dar es Salaam.
Ajali hiyo imesababisha dereva kupoteza maisha na kuacha vipande vya ubongo vikining'inia katika moa ya mdaraja hayo baada ya gari hilo aina ya Toyota Celica GTR lenye namba za usajili T220ABL kugonga na kisha kuingia kwenye ukingo wa daraja hilo na kisha kutumbukia kwenye mto.

Saturday, 13 September 2014

Hakuna Ubishi Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji Ndio Anaivuruga Klabu Hiyo.


Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Yusuph ‘Tigana’, amesema Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji (pichani) ‘anaivuruga’ klabu hiyo.

Tigana aliliambia gazeti hili juzi katika mahojiano maalumu kuwa Manji amekuwa akifanya uamuzi aliouita wa kibabe, ambao umekuwa ukichangia kuivuruga timu hiyo.

Winga huyo wa zamani wa Yanga na timu ya taifa (Taifa Stars), alisema Yanga imekuwa ‘ikipelekwapelekwa’ na

kiongozi huyo na kusisitiza kuwa amekuwa akifanya anavyotaka kwenye klabu hiyo huku Wanayanga wakikaa kimya kwa sababu ana fedha.

“Yanga sasa inapotea sababu ya kiongozi mmoja tu, sababu ana fedha, ndani ya klabu kumekuwa na uamuzi ambao si wa wote unafanywa na mtu mmoja kisa ana fedha, hivyo anaamua kufanya anavyojisikia,” alisema Tigana na kuongeza.

“Hata suala la Okwi (Emmanuel) linafanywa kibabaishaji isitoshe mchezaji huyo alistahili kwenda Simba, mimi sioni sababu ya Yanga kuendelea kumng’ang’ania na kutishia kwenda FIFA, lakini kwa kuwa mwenyekiti wetu ana pesa basi anaamua kufanya ubabe

Hakuna Ubishi Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji Ndio Anaivuruga Klabu Hiyo.


Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Yusuph ‘Tigana’, amesema Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji (pichani) ‘anaivuruga’ klabu hiyo.

Tigana aliliambia gazeti hili juzi katika mahojiano maalumu kuwa Manji amekuwa akifanya uamuzi aliouita wa kibabe, ambao umekuwa ukichangia kuivuruga timu hiyo.

Winga huyo wa zamani wa Yanga na timu ya taifa (Taifa Stars), alisema Yanga imekuwa ‘ikipelekwapelekwa’ na

kiongozi huyo na kusisitiza kuwa amekuwa akifanya anavyotaka kwenye klabu hiyo huku Wanayanga wakikaa kimya kwa sababu ana fedha.

“Yanga sasa inapotea sababu ya kiongozi mmoja tu, sababu ana fedha, ndani ya klabu kumekuwa na uamuzi ambao si wa wote unafanywa na mtu mmoja kisa ana fedha, hivyo anaamua kufanya anavyojisikia,” alisema Tigana na kuongeza.

“Hata suala la Okwi (Emmanuel) linafanywa kibabaishaji isitoshe mchezaji huyo alistahili kwenda Simba, mimi sioni sababu ya Yanga kuendelea kumng’ang’ania na kutishia kwenda FIFA, lakini kwa kuwa mwenyekiti wetu ana pesa basi anaamua kufanya ubabe

Hakuna Ubishi Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji Ndio Anaivuruga Klabu Hiyo.


Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Yusuph ‘Tigana’, amesema Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji (pichani) ‘anaivuruga’ klabu hiyo.

Tigana aliliambia gazeti hili juzi katika mahojiano maalumu kuwa Manji amekuwa akifanya uamuzi aliouita wa kibabe, ambao umekuwa ukichangia kuivuruga timu hiyo.

Winga huyo wa zamani wa Yanga na timu ya taifa (Taifa Stars), alisema Yanga imekuwa ‘ikipelekwapelekwa’ na

kiongozi huyo na kusisitiza kuwa amekuwa akifanya anavyotaka kwenye klabu hiyo huku Wanayanga wakikaa kimya kwa sababu ana fedha.

“Yanga sasa inapotea sababu ya kiongozi mmoja tu, sababu ana fedha, ndani ya klabu kumekuwa na uamuzi ambao si wa wote unafanywa na mtu mmoja kisa ana fedha, hivyo anaamua kufanya anavyojisikia,” alisema Tigana na kuongeza.

“Hata suala la Okwi (Emmanuel) linafanywa kibabaishaji isitoshe mchezaji huyo alistahili kwenda Simba, mimi sioni sababu ya Yanga kuendelea kumng’ang’ania na kutishia kwenda FIFA, lakini kwa kuwa mwenyekiti wetu ana pesa basi anaamua kufanya ubabe

MICHEZO::Shearer asema Welbeck atang'ara Arsenal

Mshambuliaji wa Arsenal Danny Wellbeck kushoto
Mshambuliaji mpya wa kilabu ya Arsenal Danny Welbeck anaweza kufunga mabao 25 kwa msimu mmoja ,hayo ni matamshi ya aliyekuwa mshambuliaji wa England Allan Shearer.
Wellbeck mwenye umri wa miaka 23 alijiunga na kikosi cha The Gunners kutoka kilabu ya Manchester United kwa kitita cha pauni millioni 16 katika siku ya mwisho ya dirisha la kuwasajili wachezaji wa soka barani ulaya na anaweza kuanzishwa kwa mara ya kwanza dhidi ya watetezi wa ligi hiyo Manchester City siku ya jumamosi.
Nimesikia watu wakisema kwamba Wellbeck hawezi kufunga mabao 20 ama 25 kwa msimu mmoja ,sikubaliani na hilo Shearer aliiambia Radio 5 live ya BBC'',.
''Sasa ana uwezo wa kuonyesha umahiri wake katika ligi hiyo.''.
Siku ya Alhamisi Meneja wa kilabu ya Manchester United Van Gaal alisema kuwa Wellbeck hakuweza kufunga mabao ya kutosha wakati alipkuwa katika kilabu hiyo ya Old Trafford.
Mshambuliaji huyo ambaye ni mzaliwa wa Manchester ambaye aliifunga mabao yote mawili timu ya Uingereza dhidi ya Switzerland siku ya jumatatu ,hajawahi kufunga zaidi ya mabao tisa katika ligi ya Uingereza tangu alipoanza kuchezea mwaka 2008.

NANI HAPENDI???::WASTARA: STAREHE YANGU KUBWA NI MAPENZI

Makala : Gladness Mallya
NIWASHUKURU wote tulioanza nao makala haya ambayo mwigizaji Wastara Juma amekuwa akifunguka kuhusiana na maisha yake, bila shaka kwa namna moja au nyingine tutakuwa tumejifunza kitu kupitia maisha yake.
Mwigizaji wa filamu Bongom, Wastara Juma akipozi.
Leo tunamalizia sehemu ya mwisho ya makala haya, tutaona jinsi gani alikutana na aliyekuwa mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Twende pamoja:
Mwandishi: Ulikutana lini na Sajuki na wapi?
Wastara: Nilikutana na Sajuki mwaka 2007 kwenye kazi ya filamu ambapo tulikuwa marafiki sana, mara nyingi tulikuwa tunakaa na kuzungumza stori za maisha huku kila mmoja akimweleza mambo aliyopitia katika mapenzi, ile filamu ilipoingia tu sokoni tukaanzisha uhusiano kwani kila mtu alikuwa na ‘stress’ za mapenzi na kila mmoja alikuwa ameshajua anachokipenda na anachokichukia mwenzake.
Wastara: Kwa hiyo uhusiano tuliuanza rasmi mwaka 2008 ambapo tulikaa mpaka 2009 ndipo tukafunga ndoa, kabla ya ndoa wakati tukiwa tunaenda kulipia ukumbi mimi na Sajuki, tulipata ajali nikavunjia mguu.
Wastara Juma akiwa na aliyekuwa mume wake marehemu, Sajuki Juma Kilowoko.
Mwandishi: Maisha ya ndoa kwa Sajuki yalikuwaje?
Wastara: Ukweli yalikuwa mazuri kwani alikuwa ni mwanaume ambaye nilikuwa namhitaji kwani alikuwa na sifa zote, alikuwa ananipenda na ananijali kwa kila kitu lakini ndiyo hivyo Mungu amemchukua.
Mwandishi: Mpaka sasa kwenye kampuni yenu (WAJEY) mna filamu ngapi?
Wastara: Tuna filamu 16 na za kushirikishwa ni 9 na nimeshirikishwa chache sababu mara nyingi Sajuki alikuwa anapenda tucheze za kwetu tu.
Mwandishi: Ni kitu gani kizuri ambacho kiliwahi kukutokea na hutakisahau maishani?
Wastara: Siwezi kusahau siku niliyopata Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike kutoka Global Publishers kupitia gazeti la Risasi kwani mpaka sasa hajawahi kutokea mwingine hivyo najiona niko bora mpaka leo.
Mwandishi: Katika maisha yako starehe yako kubwa ni nini?
Wastara Juma akiwa na meneja wake Bond Bin Sinan, 'Bond'.
Wastara: Ukweli starehe yangu kubwa ni mapenzi kwani nikiwa na mpenzi huwa najisikia starehe na huwa ninayaheshimu sana mapenzi kuliko kitu chochote kwani yanafanya akili yangu iwe sawa hivyo hata sasa ukiona siko sawa ni kwamba sijapata mwanaume wa kunistarehesha huwa na sipendi mapenzi ya wanafunzi.
Mwandishi: Je unampenda mwanaume mwenye sifa gani?
Wastara: Nampenda mwanaume mwenye mapenzi na watoto kwani nina watoto tayari, atakayenipenda mimi kama Wastara na siyo kwa kuniona kwenye picha kwani nina ulemavu tayari pia kubwa zaidi nahitaji atakayenipa muda wake na siyo ambaye anakuwa bize na simu muda wote au kushinda mitandaoni.
Mwandishi: Je una mchumba na unatarajia kuolewa lini?
Wastara: Ukweli sina mchumba na hata sijawaza ila mume wangu Sajuki akimaliza miaka miwili tangu alipofariki dunia ndipo nitaanza kuwa na wazo la kuwa na mchumba.
Mwandishi: Vipi kuhusu huyu Bond Bin Sinan ambaye anatajwa kuwa amerithi mikoba ya Sajuki? Wastara: Hakuna yule ni mtu wa karibu yangu katika masuala ya kazi tu pia ni meneja wangu, hakuna kinachoendelea nje ya sanaa.

Maajabu: Kutana na Mwanaume Aliyetembelea Mbinguni Mara Nne na Kuchora Ramani ya Mbinguni




Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 64, anaetokea south Afrika kwa zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli alisha wahi kwenda huko,but inawezekana ikawa kweli pia,mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1998 baaada ya hapo ailienda pia mwaka 2004,2006 na 2008.

Yote hayo yalianza mwaka 1993,alipotembelewa na mtu mweupe(ina wezekana malaika) na akamwambia kwamba alikuwa anahitajika mbinguni.

Baada ya kutembea mbinguni alifanikiwa kuchora ramani ya huko na kutuletea sisi tusio na bahati hiyo ya kwenda mbinguni,ili tuweze kuamini ambacho ana kisema.

STORY OF THE LEGEND::Biko encouraged dialogue that lead to empowerment: Pityana

Steve Biko died in police custody on September 12, 1977.
Steve Biko died in police custody on September 12, 1977.(File, SABC)
 
 
Rector of the College of Transfiguration in Grahamstown, Professor Barney Pityana, says anti-apartheid activist Stephen Bantu Biko encouraged a dialogue that leads to empowerment.

Professor Pityana was speaking at the commemoration lecture of Steve Biko at the University of South Africa (UNISA) in Pretoria.

The memorial lecture was attended by high profile personnel such as former national government minister Dr Mosibudi Mangena, Professor Somadoda Fikeni, as well as UNISA Principal and Vice-Chancellor Professor Mandla Makhanya.
The annual lecture is intended to keep Biko's legacy alive. Biko died in police custody on September 12 in 1977.

Professor Pityana says Biko encouraged meaningful conversation. 

 
“One of Steve's seminal essays that is not recognised sufficiently is an essay that he titled, We Blacks. It was an essay about black people talking to black people.

“It was a family conversation. A family conversation that can be true and robust and honest. A family conversation that could be about how we fight meaningfully, but also how we identify problems and find solutions together,” says Pityana.

ENGLISH ONLY:::War on Islamic State: No chance without Iran




A major advantage in having Iran on board is to reduce tensions between Iran and Saudi Arabia, writes Torfeh [Reuters]

Iranian President Hassan Rouhani, attending the 14th summit of the Shanghai Cooperation Organisation (SCO) in the Tajik capital, Dushanbe, said it would be "simplistic to think air strikes can solve the complex problem of terrorism". He said that the fight against terrorism requires "collective determination and joint regional and international cooperation".
At the summit, the leaders of Iran, Russia, and China are no doubt discussing US President Barack Obama's speech on September 11 proposing air strikes on Syria as a way of uprooting the scourge of the Islamic State group. Russia and Syria have already said any air strikes on Syria without UN Security Council approval would be illegal. The Iranian foreign ministry has called it ambiguous.
"We cannot rely on the Assad regime that terrorised its own people," said Obama. Many would agree with that sentiment but then it ignores the advice given by top military experts, such as the former British Chief of Defence Staff, Lord David Richards, who stressed that, under the circumstances, Syrian President Bashar al-Assad needs to be brought on board.

Grand strategic plan
"We've got to bring him in," he said in an interview with the Today programme on September 5. Lord Richards argued that the exceptional global security conditions called for "a coherent grand strategic plan for dealing once and for all with Muslim extremism". He named Iran and Russia as the major component of any such military plan stressing they are the only two countries that can influence Assad if air strikes were needed over Syria.
Confronting extremism in Iraq and Syria would not be possible by simply enlisting Arab nations and Sunni support especially in light of the CIA report, which says the number of Islamic State militants is three times what was assumed before. Iran's support is vital to ensure the cooperation of the Shia majority in Iraq, as well as approval from Assad.

Confronting extremism in Iraq and Syria would not be possible by simply enlisting Arab nations and Sunni support especially in light of the CIA report, which says the number of Islamic State militants is three times what was assumed before. Iran's support is vital to ensure the cooperation of the Shia majority in Iraq, as well as approval from Assad. In support of the Iraqi government, Iran has already provided much military cooperation and recently arrested Pakistani and Afghan nationals passing through to join the Islamic State group in Iraq.
It is possible that Obama kept the coalition list intentionally ambiguous to prevent a negative response or foul play from Iran or Russia. However, it may have an adverse effect on both, especially on the "good will" atmosphere that was to dominate the nuclear talks between Iran and 5+1 as they resumed in Vienna on September 11 with the participation of US Deputy Secretary of State William Burns and Under Secretary of State in Political Affairs Wendy Sherman.
Iran's key nuclear negotiator, Seyed Abbas Araghchi, who is close to Iran's spiritual leader, emphasised the importance of achieving results in the nuclear talks.
"The alternative scenario would be terrible," he told Channel 4 news. "In such a complicated region we cannot add another source of tension."
Tension in the region
Another major advantage in having Iran on board is to reduce tension in the region between Iran and Saudi Arabia. With the rapid rise to prominence of the Islamic State group, threatening to occupy the holy sites of Karbala, Najaf, Medina, and Mecca, Iran and Saudi Arabia realised they have a common enemy. They could see that any further expansion may change the map of the Islamic holy sites. So both countries have had to swallow their long-standing enmity and accept limited cooperation. Iran recently sent its deputy foreign minister, Hossein Amir-Abdollahian, to Saudi Arabia for regional security talks.
Although no direct mention was made of Iran in Obama's speech, there are still opportunities to discuss some form of limited cooperation both in the Vienna talks and in the next two weeks when the six global powers, Britain, China, France, Germany, Russia, and the United States, meet at the UN General Assembly in New York and when according to the EU chief diplomat, Catherine Ashton, talks with Iran are on the agenda in the fringe meetings.
It could be argued that the urgency of Middle East security conditions has brought the national interests of regional powers in line with those of western powers. This convergence of national and global interests calls for a complete review of the structure and modalities of international cooperation. Obama's speech failed to rise up to that challenge although it gave a stronger commitment than before to fight the Islamic State group. Whether his strategy or his present set of partners can help Obama achieve that commitment before the end of his last term is an open question.

SHOW YA DIAMOND::SIRI SABA ZA VURUGU UJERUMANI ....HIZI HAPA

Na Shakoor Jongo
SIKU chache baada ya kutolewa kwa taarifa ya kukamatwa kwa promota aliyempeleka msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ nchini Ujerumani kwa ajili ya kufanya shoo aliyejulikana kwa jina la Awin Williams Akpomiemie, mwenye asili ya Kinigeria, nyuma ya sakata hili siri saba zimefichuka, Risasi Jumamosi lina ripoti kamili.http://api.ning.com/files/bdG71GPfFwFp1hILsceCz*NPmxCi7TByl6Q56vyjaO2*iENJUDFG0lhP-tWROHjx18mVgPybeqEPiOBAhZ*7N*Fua4O1jK2Q/diamond2.jpg
Mashabiki wenye gadhabu wakilizingira gari la Mbongo Fleva, 'Diamond Platinum' nchini Ujerumani.
SIRI YA KWANZA; KIBALI
Uchunguzi uliofanywa na mwanahabari wetu ulibaini kwamba katika sakata hilo lililojiri wiki mbili zilizopita, promota huyo aliwadanganya wamiliki wa Ukumbi wa Sindelfingen uliopo Mji wa Stuttgart, Ujerumani kuwa kutakuwa na mkutano wa Waafrika waishio nchini humo na baada ya hapo kutakuwa na pati ya kawaida.
Ilisemekana kwamba wamiliki hao walitoa kibali kwa ajili ya mkutano hivyo walishtushwa kuona ukumbi umejaa na watu wanamsubiri Diamond kinyume na makubaliano.Kikizungumza kwa njia ya simu kutoka nchini humo, chanzo chetu kilidai kwamba ujanja alioutumia Awin kuwadanganya wamiliki wa ukumbi huo ndiyo chanzo cha fujo hiyo kwani alishindwa kuanza shoo mapema kwa kuwa wamiliki wa ukumbi hawakuwa tayari kwa jambo hilo.
Magari ya wagonjwa yakiwa tayari kuhudumia majeruhi eneo la tukio.
“Unajua siyo kila mtu anataka kuishi kwa shaka huku Ujerumani. Kila mtu anajua maisha ya Waafrika jinsi wanavyoishi, sasa uongo ungebainika mapema sidhani kama tungeishi kwa raha,” kilidai chanzo hicho.
SIRI YA PILI; UTEKAJI
Habari kutoka nchini humo zilidai kwamba siri ya pili ni kwamba Diamond alikuwa atekwe kwani kulikuwa na waandaaji watatu wa mpango huo hivyo wawili walitaka kumteka msanii huyo ili akafanye shoo sehemu nyingine.
“Mbali na Awin kulikuwa na jamaa wengine wawili ambao waliingilia mchakato mwishoni wakitaka waandae shoo hiyo lakini mwishoni walitofautiana ‘so’ walitaka waharibu ndiyo maana Diamond akachelewa ukumbini na vurugu zikatokea,” kilitonya chanzo chetu.
Mkali 'Diamond' akisepa kutoka eneo la tukio.
SIRI YA TATU; BIMA
Kikiendelea kutiririka, chanzo hicho kilidai kwamba ukiachana na uongo wa promota Awin iligundulika kwamba hakukuwa na bima ya kulinda usalama wa watu hasa endapo lingetokea tatizo kama lililotokea ambapo wengi walijeruhiwa.
“Huku Ujerumani huwezi kufanya onesho lolote bila bima ya kulinda usalama kwenye shoo yako, sasa jamaa hakuwa nayo, kosa ambalo ni kubwa sana kwa sheria za Ujerumani,” alisema mtoa habari wetu.
SIRI YA NNE; UKUMBI WA MIKUTANO
Kingine kilichogundulika ni kwamba hata ukumbi wenyewe ulikuwa wa mikutano na maonesho ya bidhaa na si wa kufanyia shoo za muziki kama alivyotaka kufanya yeye.
“Ukumbi wa Sindelfingen, Stuttgart ni wa mikutano na maonyesho ya bidhaa, haujawahi kutumika kwa shoo kama ile ndiyo maana hata sisi tulishangaa iweje utumike kwa ajili ya shoo ya Diamond?” kilihoji chanzo chetu.
Moja ya shoo aliyofanikiwa kufanya('Diamond') huko majuu.
SIRI YA TANO; HASARA MIL. 600
Chanzo hicho kilieleza kwamba baada ya uchunguzi wa polisi, ilibainika kwamba hasara iliyosababishwa na vurugu hizo inafikia euro 300,000 (zaidi ya Sh. milioni 600 za Kibongo).
“Hicho ndicho kiasi ambacho Awin anatakiwa kukilipa kwa wamiliki wa ukumbi kwani alisababisha loss (hasara) kubwa sana,” kilidai chanzo hicho.
SIRI YA SITA; KESI
Licha ya promota huyo kufikishwa polisi kwenye Mji wa Stuttgart, suala lake lipo chini ya ofisi ya mji huyo ili sheria ichukue mkondo wake huku polisi wakisisitiza kwamba Diamond akitia mguu tu watamdaka.
“Hadi ninavyoongea na wewe polisi bado wanamuhoji Awin kutokana na tetesi kwamba anajihusisha na biashara tata lakini kuhusu fujo zile kesi yake iko chini ya ofisi ya Mji wa Stuttgart, inavyooneka hali iko vibaya sana kwa upande wake na Diamond kwani polisi wanakomaa kuwa akitimba tena watamkamata,” kilisema chanzo hicho.
'Diamond' akiwa na Meneja wake, Babu Tale.
SIRI YA SABA; KUTAFUTA ‘KIKI’
Uchunguzi mwingine wa gazeti hili ulibaini kwamba sakata la vurugu za Diamond nchini Ujerumani lilipangwa kwa makusudi ili kutafuta ‘kiki’ (umaarufu) na kuvuta hisia kupitia vyombo vya habari vya kimataifa ili kumpaisha zaidi.
“Fuatilia majibu ya meneja wake, Babu Tale. Alisema kuwa vurugu zilikuwa mbaya lakini ni fagio kwa Diamond kimataifa. Kama siyo kutafuta kiki ni nini?” kilihoji chanzo makini Bongo na kuongeza:
“Nasikia anarudi Ujerumani kufanya shoo kubwa ya bure (Septemba 20). Wewe huoni hapo kulikuwa na mchezo?”
DIAMOND ANASEMAJE?
Alipoulizwa Diamond kuhusiana na utayari wa yeye kurudi Ujerumani na yote yaliyotokea, hakutaka kufungukia zaidi ishu hiyo na kudai amejiaandaa vilivyo kufanya shoo ya bure Septemba 20 kama waandaaji walivyomtaka.
TUMEFIKAJE HAPA
Agosti 30, mwaka huu zilitokea fujo kwenye Ukumbi wa Sindelfingen uliopo Mji wa Stuttgart, Ujerumani zilizosababishwa na Diamond ambaye alichelewa kupanda stejini hadi saa 10:00 alfajiri ambapo watu walivunja viti, vyombo vya muziki na vitu mbalimbali baada ya mashabiki kushikwa na hasira kwa kukosa  burudani ya shoo Diamond.