Thursday, 28 August 2014

BABA BEYONCE ASEMA::WANAWAGHIRIBU AKILI TU HAO....SIO LEO WA KESHO

Baba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na Beyonce, Bey aripotiwa kuwa mjamzito

August 28, 2014 
Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles afichua siri ya kuwepo ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya lift.

Katika mahojiano aliyofanya na Roula &Ryan Show wiki hii, Mzee Mattew alieleza kuwa anachofahamu ni kwamba tetesi hizo za talaka ilikuwa mbinu ya kuuzia tiketi zaidi za tour yao.

Ameeita mbinu hiyo kuwa ‘Jedi Mind trick’ ambayo maana yake ni nguvu ya kucheza na akili ya watu kwa kutengeneza utata fulani ili kuwafanya wafikirie unachotaka kwa maslahi yako (kucheza na fikra zao).

“I know, because we’ve done this. From experience, there’s a tour going on,So you sometimes have to ignite that tour. It’s called a Jedi mind trick. The Jedi mind trick fools you a lot.” Amesema

Alipoulizwa kuhusu ugomvi kati ya Jay Z na Solange, mzee huyo aliendelea kushikilia msimamo wake kuwa ile yote inaweza kuwa trick ambayo imewasaidia pia katika tour hiyo hiyo na imesaidia kuuza albam ya solange kwa asilimia kubwa.

“All I know is the Jedi mind trick. Everyone’s talking about it. Ticket sales went up. Solange’s album sales went up 200%!”

Katika hatua nyingine, jarida la OK limeripoti kuwa Beyonce ni mjamzito tena hivyo wawili hao wanatarajia kuwa na mtoto wa pili.

Kwa mujibu wa chanzo chao, tangu mwezi mmoja uliopita Beyonce amekuwa akichagua vyakula kama alivyokuwa anafanya wakati anaujauzito wa Blue Ivy na kwamba Jay Z amekuwa akihakikisha kwamba hapati stress yoyote.

KWANINI WANAWAKE WENGI WASOMI HAWAOLEWI????Soma hapoo..

Wanawake Wengi Wanaoolewa ni Darasa la Saba na Form 4 Wenye Degree Hamfai na Degree Zenu.

August 28, 2014
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.
Je Hii Kauli inaukweli Wowote?

HAWA NDO WAKIMBIZI WA DARFUR KWA MIAKA 10 ZAIDI

HAWA NDO WAKIMBIZI WA DARFUR

Hamisa akiwa katika kambi ya Hassa Hissa Darfur 2007
MUONE BIBI ALIVO,KISA SIASA UCHWARA..

Hamisa akiwa bado katika kambi hiyo  Hassa Hissa Darfur 2014
MUONE BIBI HAMISA AKIWA BADO KAMBINI

Amina akichungulia dirishani
AMINA AKICHUNGULIA DIRISHANI

Haja akiwa amembeba mjukuu wake
BIBI NA MJUKUU WAKE

Yusuf akiwa katika kambi ya Aslam 2014
MKIMBIZI AKIWA KAMBIN

Kambi ya Zinglei
KAMBINI HAPO

Viongozi wa jamii wakizungumza kwa simu ya mkononi
VIONGOZI WA JAMII WAKIZUNGUMZA KWA SIMU YA MKONONI

Kinyozi katika kambi ya Khamsa Dagiag iliyoko Darfur
HAPO NDO SALOON...

Mkimbizi akijenga nyumba ya kudumu ya matofali katika kambi ya Hamadia Kusini mwa Darfur
KIJANA AKIJENGA NYUMBA

PANDA ADANGANYA ANA MIMBA....

Panda adanganya ana mimba

 28 Agosti, 2014 BBCSWAHILI.

Ai Hin akijilia mianzi kwa raha zake.

Ripoti kutoka nchini China zaeleza kwamba, Panda mmoja mkubwa jike aliamua kuwachezea shere wale wanaomhudumia kwa kuwaonesha kila dalili kua ana mimba ili apewe aina ya mikate ya buns zaidi.
Panda huyo aitwaye Ai Hin, alianza kuonesha dalili zote za mimba katika kituo cha utafiti na upandikizaji wanyama kilichoko katika jimbo la Sichuan,China.
Kutokana na kuonesha dalili hizo, mipango ikaanza kupangwa ya kuja kumzalisha panda Ai Hin kwenye runinga live watu washuhudie, naye panda huyo sijui alistukia mpango huo? Tabia na dalili za mimba zikatoweka na kuwa katika hali ya kawaida.
Mtaalamu wa wanyama alipoulizwa nini kimetokea, alisema kua pengine Panda huyo aling'amua kua Panda wazazi huondolewa kwenye vyumba vilivyopozwa hewa na kwenda kufungiwa sehemu chini ya uangalizi maalum na huko hupewa nyongeza ya matunda na buns nyingi na zaidi huongezewa mianzi mingi.
Kwa tabia Panda huzaa kwa nadra sana na wale wanaofungiwa robo yao huwa hawazai.

USIJARIBU KUMSHAURI HUYU...Wakati anamtongoza jimama lake hakuomba USHAURI...

Hili Jimama Litaniua, Kila Akitaka Mambo Anamtoroka Mume Wake na Kuniita Hotelini Nimshughulike

August 28, 2014
Admin Udaku Specially Huyu Mama Hapo kwenye Picha Anataka kuniua tu mimi kijana bado mdogo, Nilikutana naye Mlimani City Pale Game alikuwa akifanya shopping na watoto wake wadogo sasa vitu alivyonunua vilikuwa vingi nikamsaidia kuvipeleka kwenye gari lake , akanishukuru na kuniomba number yangu ya simu, sasa kuanzia hapo tukawa tunawasiliana lakini siku zilivyozidi kwenda tukajikuta tunachat mambo ya mapenzi na siku moja tukakutana nikampa dozi 3 za nguvu, sasa imekua shida maana kila week ananitafuta mara mbili nimpe mambo eti anasema mume wake hawezi mambo , kila mara huwa analipia hoteli yeye na kila kitu mpaka vinywaji mimi kazi yangu ni dozi , sasa nimejaribu kumchumguza nimengundua ni Mke wa Mwanasiasa Maarufu hapa Tanzania. Nimeingiwa na Woga nahofia maisha yangu mimi bado mdogo ndio natafuta maisha.. Naomba Ushauri ...

SOMALIA NA KENYA:::LUPITA NA K'NAAN SIO SIRI TENA

PENZI LA LUPITA NYONG’O NA K’NAAN SASA LIVE BILA CHENGA

Lupita Nyong’o na K’Naan.
WASANII maarufu kutoka Afrika wanaotamba katika ngazi za kimataifa --  K’Naan kutoka Somalia aliyetamba sana na wimbo wake wa Kombe la Dunia mwaka 2010 na mwanadada wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda Tuzo za Oscar, Lupita Nyong’o,  wameonekana wakiwa pamoja katika mgahawa mmoja huko Brooklyn, Marekani.
Mwanadada wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda Tuzo za Oscar, Lupita Nyong’o.
Wapenzi hawa walihisiwa kuwa wana uhusiano wa kimapenzi tokea mwezi wa tisa mwaka jana, ila walikuwa wakijificha sana na hatimaye juzi kubambwa live wakishikana mikono na mabusu teletele hadharani.
Wakali hawa wanaoiwakilisha Afrika vizuri hawana sababu tena ya kuficha mapenzi yao, hivyo wengine  tubaki kulia na kuwapa sapoti zote watakazohitaji kwani kazi zao zinakubalika.

MFAHAMU MTUNZI WA "MUNGU IBARIKI AFRIKA"

ENOCK SONTONGA NDIYE MTUNZI WA WIMBO WA ‘MUNGU IBARIKI AFRIKA’

Enock Sontonga,
JE, unamfahamu mtu aliyetunga sauti (melody) ya wimbo ambao leo Watanzania wanauita Wimbo wa Taifa?Huyu ni Enock Sontonga, raia wa Afrika Kusini, aliyetunga mashairi ya wimbo wa ‘Mungu Ibariki Afrika’ ambao kwa lugha moja ya Afrika Kusini unajulikana kama ‘Nkosi Sikelel’ iAfrika’.
Sontonga alizaliwa mwaka 1873 na kufariki Aprili 18, 1905.Sauti ya wimbo huo imetumiwa na nchi kadhaa kwa nyimbo za taifa za  Afrika Kusini, Zimbabwe, Namibia, Zambia na Tanzania – ambapo Tanzania na Zambia zimeendelea kuitumia ‘melody’ hiyo hadi leo hii.Nchi zingine tatu za Zimbabwe, Namibia na Afrika Kusini zimetunga nyimbo nyingine.
Wimbo huu ulitungwa mwaka 1897  na kurekebishwa na wahariri mbalimbali mpaka kufikia kutumika vyema katika maswala ya kitaifa.  Kwa habari zaidi fungua mtandao sehemu ya (Wikipedia) kupitia.

Tuesday, 26 August 2014

KWANI LULU BADO ANA KESI YA KUJIBU?NILIJUA ISHAISHA..Poaa

Kesi Ya Kanumba Na Lulu Yasikilizwa Kimya Kimya

Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba  imechukua sura mpya baada ya kuanza kusikilizwa kimyakimya.
WATU WANATAKA KUJUA KINACHOENDELEA

Uchunguzi umebaini kwamba watu wengi wana kiu ya kujua kinachoendelea katika kesi hiyo ambapo ilidaiwa kwamba imehamishwa eneo la wazi (open) na kusikilizwa kimyakimya katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, huku usikilizwaji wa kesi hiyo ukiwa tofauti kama ilivyozoeleka.

Kwa mujibu wa shushushu mmoja anayependa kufuatilia maisha ya mastaa wa tasnia tofautitofauti Tanzania ndani ya mahakama hiyo, akichonga na Globalpublishers alisema kuwa chombo hicho cha kusimamia sheria kimeamua kubadili aina ya usikilizaji wa kesi hiyo.
YAHAMISHIWA BARAZA LA KESI ZA MAUAJI

Habari zilieleza kwamba, kwa sasa kesi hiyo itakuwa ikisikilizwa kwenye kikao cha baraza la kusikiliza kesi za mauaji kwenye mahakama hiyo, kwa lugha ya kigeni kinaitwa High Court Murder Session.

“Kama ukienda pale mahakamani ili kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo, huwezi kufanikiwa kupata chochote kwa sababu ipo kwenye baraza la kusikiliza kesi za mauaji yaani High Court Murder Session ambalo huwa linasikiliza kesi kimyakimya tofauti na kesi nyingine zinazosikilizwa kwenye kizimba,” kilisema chanzo hicho.

ETI LULU HAJUI KINACHOENDELEA

Uchunguzi wetu ulibaini kwamba wakati hayo yakiendelea kortini hapo, aliyekuwa mwandani wa Kanumba aliyekuwa naye chumbani siku ya kifo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ hajui chochote kinachoendelea na wala hajaitwa mahakamani.

“Tangu imeanza kusikilizwa hakuna siku Lulu ameitwa na sidhani kama anajua kinachoendelea.

“Labda anayejua kinachoendelea ni mama Kanumba (Flora Mtegoa) ambaye hupenda kuulizia kuhusu hatima ya mwanaye,” kilisema chanzo hicho.
WAKILI KIBATALA ANASEMAJE?

Baada ya kujikusanyia data hizo, Globalpublishers kuptia gazeti la Ijumaa Wikienda ilimtafuta wakili maarufu nchini anayemtetea Lulu, Peter Kibatala ili kupata ufafanuzi wa aina hiyo ya usikilizwaji wa kesi ya mteja wake ambapo alifichua siri hiyo juu ya kesi ya kifo cha Kanumba.

Wakili Kibatala alikiri kwamba kesi ya kifo cha Kanumba ambayo Lulu ni mshitakiwa wa kwanza akituhumiwa kuua bila kukusudia, imebadilishwa aina ya uitwaji huku akigoma kuingia kiundani kwani bado kesi hiyo ni mbichi na hairuhusiwi kwa wakili kuzungumza nje ya mahakama.

“Ni kweli inaitwa hivyo, huyo aliyekueleza hajakosea na tunategemea mwezi huu wa nane kikao cha baraza hilo la usikilizaji kitaendelea lakini nisingependa kuongea sana kwani mimi siyo msemaji wa Lulu bali ni wakili na si maadili ya kazi yangu kuzungumza nje ya mahakama. Hata Lulu haruhusiwi kuzungumza chochote nje ya mahakama,” alisema Kibatala aliyewahi kuwa wakili wa mwigizaji Kajala Masanja na mwanahip-hop, Waziri Makuto ‘Lord Eyez’.
LULU SASA

Mwanahabari alipomtafuta Lulu ili kujua kama anajua chochote juu ya kesi hiyo, mkali huyo wa sinema za kitanzania aligoma kuzungumza chochote kama aliyoelekezwa na wakili wake, Kibatala.
TUJIKUMBUSHE

Kanumba aliyewatoa mastaa wengi wa filamu unaowaona kwa sasa, alifariki dunia April 7, 2012 nyumbani kwake, Vatican-Sinza jijini Dar. Kifo cha Kanumba kilidaiwa kwamba kilitokana na kuangukia sehemu ya nyuma ya kichwa ambapo alipata mtikisiko wa ubongo kisha kuzikwa kwenye Makaburi ya Kinondoni, Dar.

BANIANI MBAYA::HERI YA KUZALIWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA

HERI YA KUZALIWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA

 August 26, 2014
 
Leo Agosti 26 ni siku ya kuzaliwa ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Ngoyai Lowassa aliezaliwa tarehe kama ya leo miaka 61 iliyopita.
Mh. Lowassa anayo furaha kubwa kuisherehekea siku hii muhimu kwake na kwa familia kwa ujumla.

Keep the world peace alive tunamtakiwa Heri ya siku ya kuzaliwa kwake.

KATUNI YAKO:::SINEMA YETU DODOMA INAANZA LINI JAMAN???

HUU NDO UNAFIKI WA MAREKANI KUHUSU LIBYA..JISOMEE KIMYA

Marekani yalaani vita nchini Libya

 26 Agosti, 2014
Mataifa ya magharibi yalaani kuenea kwa vita nchini Libya
Maafisa nchini Marekani wanasema Misri na umoja wa falme za kiarabu zilihusika na mashambulio nchini Libya katika wiki iliyopita kuwalenga wanamgambo wa kiislamu wanaokabiliana na vikosi vya serikali.
Afisa mmoja mkuu wa Marekani ameiambia BBC kwamba Marekani haikushirikishwa katika mashambulio hayo na ilishangazwa.
Makombora hayo yaliofyetuliwa Tripoli yanasemekana kutekelezwa na Umoja wa milki za kiarabu kwa kutumia kambi za kijeshi nchini Misri.
Misiri imekana tuhuma hizo na hapajakuwa na tamko lolote kutoka kwa Umoja wa falme za kiarabu.
Marekani na washirika wake wanne wa Ulaya zimeshutumu wanachokitaja kama usumbufu wa kutoka nje nchini Libya. Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uingereza na Marekani zimelaani vikali mpigano na ghasia nchini Libya.
Wapiganaji wa makundi mawili hasimu ndio wanaoendesha mashambulizi hayo
Zimelaani pia kuongezeka kwa mapigano na ghasia ndani na kuzunguka miji ya Tripoli, Benghazi, na nchini kote Libya, hususan dhidi ya maeneo ya maakazi ya watu, sehemu za umma, na miundombinu muhimu kutokana na mashambulio ya ardhini na pia ya angani.
Nchi hizo zimesema zinarudia wito wao, zikiungana na ule wa serikali ya muda ya Libya, Baraza la Wawakilishi na wananchi wa Libya, kwamba pande zote nchini Libya zikubaliane na usitishaji wa vita mara moja na kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kisiasa, kujizuia na mipango inayoweza kudhoofisha hatua hiyo.

POSHO ZA WABUNGE WA KATIBA..OFISI YA BUNGE YATOLEA UFAFANUZI

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.

Mkurugenzi wa Habari na Itifaki, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa mikutano ofisi ya Bunge mjini Dodoma.

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wakisikiliza kjwa makini maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari na Itifaki, Bw. Jossey Mwakasyuka wakati alipofanya mkutano na waandishi hao kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa mikutano ofisi ya Bunge mjini Dodoma.
OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.

Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.

Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na kuchapishwa kwa taarifa hizo na baadhi ya vyombo vya habari kwani taarifa hizo ni za upotoshaji na zina lengo la kuwadhalilisha Waheshimiwa Wajumbe na kuwafanya waonekane wenye kuishi na kufanya kazi kwa kutegemea posho wanazolipwa.

“Ni vema ikaeleweka kwamba Wajumbe wa Bunge Maalum wote ni watu wenye nafasi zao katika jamii na ni wenye kazi au shughuli zao mahususi zinazowaingizia kipato na kwamba Ujumbe wa Bunge Maalum ni nafasi ya muda tu ya kutimiza jukumu la kuliandalia taifa Katiba Mpya”. Alisema Mwakasyuka.

Mwakasyuka ameongeza kuwa, si vema kwa vyombo vya habari kuwadhalilisha Wajumbe hao kwa njia yoyote ile kwani kwa kufanya hivyo kunawavunja moyo na kuwafanya washindwe kuifanya kazi ya Bunge Maalum vizuri kama ilivyotarajiwa na wananchi.

Akifafanua kuhusiana na malipo ya posho hizo, Mkurugenzi Mwakasyuka ameviambia vyombo vya habari kuwa, Wajumbe wote wa Bunge Maalum ambao wanahudhuria vikao vinavyoendelea wamekwishalipwa posho zao zote kama wanavyostahili.

“Ni vyema ikaeleweka kwamba malipo ya posho yanafuata taratibu za fedha za umma na yanapita kwenye mchakato maalum unaojumuisha kupata orodha za mahudhurio ya Wajumbe kwenye kikao, upatikanaji wa fedha toka Hazina, na upatikanaji wa fedha toka Benki, hivyo wakati mwingine huchukua siku kadhaa hadi kukamilika.” Alifafanua Mwakasyuka.

Aidha, Mwakasyuka amevitahadharisha vyombo vya habari  vinavyondika habari za Bunge Maalum kuzingatia maadili na kanuni za Uandishi wa habari zinazotolewa katika vikao vya Bunge Maalum ili taarifa kama hizo za upotoshaji zisijirudie tena.

“Kumbukeni kuwa wajibu wenu ni kuhabarisha umma na sio kupotosha umma na hata kuleta usumbufu kwa jamii kutokana na uandishi usio makini”. Alionya Mwakasyuka.

Katika kanuni za Bunge Maalum, kanuni ya 77 inawataka waaandishi wa habari kuandika habari za Bunge Maalum kwa weledi mkubwa kwa kuzingatia maadili ya uandishi wa Habari ili kuondoa uandishi wenye kuleta chuki kati ya Serikali na Wananchi wake kwani kinyume na kanuni hiyo, Katibu anaweza wakati wowote kuondoa ruhusa aliyotoa kwa mwakilishi wa chombo chochote cha habari iwapo chombo hicho kitatoa taarifa yoyote kuhusu shughuli za Bunge Maalum ambayo kwa maoni ya Bunge Maalum inapotosha ukweli au vinginevyo inakiuka kanuni, taratibu au haki za Bunge Maalum.
na fredy mgunda

NA WAPIGWE TU:Baada ya Pinda Kutangaza Nia ya Urais, Wanzazibari Wasema Hawamtaki Kwani Alisema Zanzibar Sio Nchi

Baada ya Pinda Kutangaza Nia ya Urais, Wanzazibari Wasema Hawamtaki Kwani Alisema Zanzibar Sio Nchi

Tuesday, August 26, 2014
Zanzibar. Madai ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuingia katika kinyang’anyiro cha urais yameibua mjadala mkali kutoka kwa baadhi ya wanasiasa, wasomi na wananchi wa Zanzibar ambao wamesema hafai kutokana na kauli yake kuwa ‘Zanzibar si nchi’.

Wakizungumzia uamuzi huo ulioripotiwa na vyombo vya habari juzi, baadhi ya wananchi hao wamempinga na wengine kumuunga mkono.

Aliyekuwa mgombea mwenza wa TLP katika Uchaguzi Mkuu 2010, Abdallah Othman Mgaza alisema Pinda anaponzwa na kauli yake kuwa Zanzibar si nchi... “Zanzibar ni nchi kamili ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutojua kwake akasema si nchi na kuwakera Wazanzibari. Anapoteza muda wake bure kwa kufikiria urais wa Muungano, sehemu moja ya dola hawana imani naye.”
.

Mkurugenzi wa Uenezi, Habari na Mawasiliano kwa Umma wa CUF, Salum Abdallah Bimani alisema chama hicho kimepata mshangao kusikia Pinda akitaka kuwamo katika orodha ya wanaojitaja kuwania urais wa Muungano wakati upande mmoja wa Muungano bado una kinyongo naye kwa matamshi yake yaliyodai Zanzibar si nchi.

“Ndugu zetu CCM Zanzibar wana kawaida ya kutotusikiliza na kutubeza, kwa hili tunawaomba chondechonde wafungue masikio yao, akiwa waziri mkuu alisema Zanzibar si nchi, akipata urais ataitangaza nchi yetu mkoa na kutuletea gavana mkaazi,” alisema Bimani.

BORN IN TANZANIA BURRIED IN GERMAN::DINOSAURS

'MJUSI' WA TANZANIA AMBAYE MABAKI YAKE YALITOROSHEWA UJERUMANI

August 26, 2014
Haya ndo mabaki ya Mjusi kama yanavyoonekana
Hii ndo sehemu ambako mabaki hayo yalipatikana
UKIACHANA na Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro na hata madini ya Tanzanite, je, wajua kuwa Tanzania ina utajiri ambao ungekuwa kivutio kingine kwa watalaa nchini.
Kivutio hicho kama kingekuwa hapa nchini ni mabaki ya wanyama aina ya mijusi wakubwa wa walioishi mamilioni ya miaka iliyopita (waitwao dinosaurs) hapa nchini  ambaye alichukuliwa na kupelekwa na wakoloni huko Ujerumani?                                                 Sehemu ambako mabaki hayo yamehifadhiwa
Mabaki hayo  mjusi yalipatikana mwaka 1912 na kusafirishwa kwenda kuhifadhiwa Ujerumani  enzi  zile za ukoloni.  Hivi leo serikali ya Tanzania inafanya michakato ya kuirudisha hifadhi yetu hiyo na mazugumzo yanaendelea.  Mjue ni mjusi wa aina gani na amehifadhiwa mahali gani?

MTOTO AKILILIA WEMBE:::Denti Amuua Mwanaye kwa Kumnyonga na Kisha Kumficha Uvunguni

Denti Amuua Mwanaye kwa Kumnyonga na Kisha Kumficha Uvunguni

Tuesday, August 26, 2014

Mwanafunzi wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya,  Vena Mtati (27) (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa madai mazito ya kumuua mtoto wake kwa kumnyonga, kumtumbukiza kwenye mfuko wa rambo na kuutia ndani ya mfuko wa salfeti kisha kuuficha chini ya kitanda.

Tukio hilo la kikatili ambalo limewashangaza wengi, hasa ikizingatiwa kuwa mtuhumiwa huyo anajua sheria kwa sababu anajifunza uuguzi, lilijiri Agosti 21, mwaka huu ndani ya nyumba moja iliyopo Kijiweni, Kata ya Mvinjeni mjini hapa.

Kwa mujibu wa shuhuda ambaye anaishi jirani na nyumba inayodaiwa kufanyika mauaji hayo (jina lipo), wiki mbili zilizopita, mtuhumiwa huyo alifika kwenye nyumba hiyo akitokea chuoni akiwa na ujauzito.

“Wiki mbili zilizopita, Vena alifikia kwa rafiki yake anayeitwa Joyce ambaye alikuwa amepangisha katika hiyo nyumba. Vena alikuwa na mimba kubwa, baada ya siku tano tu akajifungua,” kilisema chanzo hicho.

Kikaongeza: “Siku ya tukio, Joyce yeye ambaye ni mwenyeji alitoka kwenda katika shughuli zake, akamuacha Vena akiwa chumbani. Nadhani ndipo aliposhikwa na uchungu, akajifugua mtoto wa kike.

“Ilikuwa asubuhi, sisi tukasikia kelele kutoka kwenye chumba hicho. Zile kelele zilikuwa si za kawaida! Ilikuwa kama vile kuna mtu anakabwa.

“Tuliposikiliza kwa makini, mara sauti ya redio ikaongezwa ili kufanya kelele hizo zisisikike kwa nje. Lakini kwa vile sisi majirani  tulijua kwamba ndani ya chumba kile kuna mjamzito na kelele alizopiga mtoto si za kawaida ndipo tulipomtafuta mwandishi wa habari (hizi),” kilisema chanzo hicho.

Mwandishi wetu alipopatikana na kunyetishiwa kuhusu kuwepo kwa uwezekano wa mama ambaye ni nesi kumuua mtoto wake aliyejifungua, aliwasiliana na Polisi wa Dawati la Jinsia.

Polisi hao, awali walimtafuta mwenyeji wa mtuhumiwa huyo, yaani Joyce ambaye alikuwa kwenye  mihangaiko yake.
Alipopatikana alipokonywa simu yake ya mkononi ili asiweze kuwasiliana na mtuhumiwa.

Aliulizwa kama ana mgeni nyumbani kwake, akakiri. Akaulizwa kama mgeni huyo amejifungua, akakataa ndipo wakamchukua kwenda naye nyumbani kwake kumfuata mtuhumiwa huyo.

Mwandishi wetu akiwa ameongozana na askari hao walifika kwenye chumba hicho na kumkuta Vena akiwa amesimama mlangoni.

Alipoulizwa kama amejifungua, awali alikataa katakata lakini baada ya  kubanwa na kutishiwa kuswekwa ndani, alikiri kujifungua na kusema kwamba mtoto huyo amemficha uvunguni mwa kitanda.

Ndani ya chumba hicho, sakafuni kulikuwa na damu  zilizodaiwa kumtoka mtuhumiwa huyo wakati akijifungua mwenyewe!

Polisi walizama chumbani, wakainama kuchungulia chini ya kitanda. Walichoanza kukiona ni mfuko wa salfeti, wakauvuta  kuutoa. Walipofungua ndani, wakakuta mfuko wa rambo, wakaingiza mkono na kutoa kifurushi kikiwa kimeviringishwa nguo nyingi na ndiye mtoto huyo alimohifadhiwa.

Mbali na mwili wa mtoto huyo kuviringishwa nguo hizo, pia ulimwagiwa chumvi na vumbi la mkaa ambapo ilidaiwa mtuhumiwa alifanya hivyo ili mwili huo usitoe harufu utakapotupwa porini.

Majirani walisema maarifa hayo, mtuhumiwa aliyapata kwa sababu tayari anajua namna ya kuhifadhi mwili wa mwanadamu, kwa mwanamke asiye na ujuzi asingeweza kufanya hivyo.

Kuna madai kwamba, mtuhumiwa huyo aliwaambia polisi kuwa alifikia uamuzi wa kumuua mtoto huyo kufuatia mwanaume aliyempa ujauzito aishiye jijini Dar es Salaam kumuahidi ndoa lakini akaingia mitini.

Baada ya polisi kusikiliza maelezo ya mtuhumiwa huyo, walimkamata yeye, mwenyeji wake Joyce na mmiliki wa nyumba hiyo ambaye jina halikupatikana mara moja.

Polisi walisema mmiliki wa nyumba hiyo alikamatwa kwa sababu alikiuka sheria za mji ambapo alitakiwa kutoa taarifa za kumpokea mgeni huyo kwenye serikali za mitaa lakini hakufanya hivyo huku Joyce akidaiwa kutambua kuwa mgeni wake alijifungua lakini akawaambia hakujifungua.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

MIMI MGENI:::Nimerekodiwa Video ya Ngono Bila Kujijua. Nifanyeje?

Nimerekodiwa Video ya Ngono Bila Kujijua. Nifanyeje?

 Tuesday, August 26, 2014

Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha aama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa nikipata demu wa kupiga nampelekaga Guest/hotel niliyofikia tunafurahia "game" asubuhi namlipa chake anatambaa.

    Sasa katika kuingia guest kadhaa za hapa Dar nimegundua hawa jamaa wa guest wanaweka SECURITY CAMERAS kuanzia kwenye parking, kwenye korido, karibu na milango, vyumbani hadi bafuni. Je, ni haki kuweka security camera hadi vyumbani/bafuni?

    Jana nikiwa kwenye foleni Magomeni Mapipa dogo mmoja akaja na DVD kibao za dini, chini yake ameweka DVD ya X ina picha ya WEMA nikainunua ile kufika hotelini nikaweka kwenye laptop katika Clip Mojawapo najiona mimi na demu niliyemchukua week Mbili zilizopita.

    Hakika nilichoka, sijui cha kufanya nishaurini wadau.